Kuna mambo kuyaanza ukubwani ni ngumu sana. Hili suala la balanced diet linaezekana maybe kwa mchakato wa more than 10 yrs. Inatakiwa lianze watu wakiwa watoto wadogo kabisa ili wakue huku wanaona na kuelezwa faida zake.
Sasa kwa mfano kijana kakulia huko ifilandama, menu ni ugali mkubwa na kisosi cha mboga, leo ukimwambia balanced diet ni kama unapuliza upepo