Kwanini kadri siku zinavyoenda kusema ukweli, kuhoji au kukosoa unageuzwa Adui? Usipotekwa ni kwamba"UNAPOTEZWA"
Swali lake hajaweka wazi ni kuhusu niniNdio ujue binadamu ni kiumbe cha hovyo kupata kutokea asipo jitambua.
Tumefikaje hapo!??Kwanini kadri siku zinavyoenda kusema ukweli, kuhoji au kukosoa unageuzwa Adui? Usipotekwa ni kwamba"UNAPOTEZWA"
Wachukue vyote kuliko kutaka kuzibua kizibo lazima mtu afe asee.Shukuru watekaji wako Wana roho nzuri...wamekuachia na simu!?
Watekaji wa sikuhizi wananjaa sana na vizibo kuliko kilichokusudiwa🙄Wachukue vyote kuliko kutaka kuzibua kizibo lazima mtu afe asee.