Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Naunga mkono azimio hili, lakini hakikisha huupati. Period.Wadau hamjamboni nyote?
Mjumbe mmoja tu tena mbishi kweli na anajifanyaga kasoma na mjuaji ndiyo kapinga azimio letu!
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee
Mchana mwema
Upate kwanza ili utupe uzoefu binafsi achana na mambo ya kuhadithiwa.Wadau hamjamboni nyote?
Mjumbe mmoja tu tena mbishi kweli na anajifanyaga kasoma na mjuaji ndiyo kapinga azimio letu!
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee
Mchana mwema
ukimwi umeishazeekaWadau hamjamboni nyote?
Mjumbe mmoja tu tena mbishi kweli na anajifanyaga kasoma na mjuaji ndiyo kapinga azimio letu!
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee
Mchana mwema
Hakika..Naunga mkono azimio hili, lakini hakikisha huupati. Period.
CD4 below 200?. Vijana nawasihi acheni ngono zembe gojwa hili ni zito na linamaliza vijana. Mishangazi na Mimama yenye makalio makubwa na wale weupe na mapaja yenye michirizi na mishipa ya damu ya kijani ni magwiji wa retroviruses.. usicheze peku kabisa Dr Remmy Ongala aliwahi kuimba “Mambo kwa soksi” .. I gotta go!Wadau hamjamboni nyote?
Mjumbe mmoja tu tena mbishi kweli na anajifanyaga kasoma na mjuaji ndiyo kapinga azimio letu!
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee
Mchana mwema
Mpeni lishe nzuriJidanganyeni tu, nina ndugu yangu anateseka na huo ugonjwa sana.....inaniuma sana, mtu aliyeolewa bikra leo yupo wa kuzoa kitandani.
Na sio kwamba alikuwa hatumii dawa, katumia sana.....ugonjwa umeenda kuibua magonjwa mengine makubwa now yupo anateseka kitandani.....😭😭