johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbona Magoma umemruka?Kiukweli ilikuwa ni wiki nzito sana kiasi Cha maigizo ya Mchungaji Msigwa kutofuatiliwa kabisa
Mungu wa Mbinguni atuhurumie wiki tunayoanza kesho akatufanyie Wepesi
Ahsanteni
Mlale Unono π
Huyu ndiye mwenye hii wikiView attachment 3048175Na mimi je?
Tatizo tunaleta dharau kwa wazee...subiri siku waje kuchukua funguo za jfHuyu ndiye mwenye hii wiki
Unaizungumziaje 1.7 trillion ya BoT?Joh in the house
1. Macheni kabla hajaenda Unyamwezini tulikuwa naye Mitaa ya Wilolesi alikuwa Kondakta wa Mabasi ya Railways na alivyorudi kutoka majuu wale mademu pale Magomeni alikuwa anawatoa Morogoro πHivi joh, wale warembo wa Kwa macheni miaka ya 90 , alikua anawatoa singida, babati, kondoa au wapi? Alipata kuwepo salma na zamda walikua wanamaumbo ya kuvutia sana, enzi hizo mipango ya kuanzishwa chadema inafanyika pale huku Bob makhan, pembeni mtei msigwa alikua bado yuko kijijini , anatokwa makamasi, enzi mbowe yuko BOT, bwana msigwa alikua wapi?
Kalolo namkumbuka niliwahi kunywa nae pale police na pale sambala, jamaa siasa za iringa mjini alikua mwamba kwelikweli, nilijua msigwa atatulia kama mstaafu wa nccr au bora angekua kama chiku abwao basi1. Macheni kabla hajaenda Unyamwezini tulikuwa naye Mitaa ya Wilolesi alikuwa Kondakta wa Mabasi ya Railways na alivyorudi kutoka majuu wale mademu pale Magomeni alikuwa anawatoa Morogoro π
2. Peter Msigwa alitokea Uwanji Matamba huko wilayani Makete na tulimpokea vizuri tu akiwa miongoni mwa wauza mitumba wa mwanzo kabisa pale Miyomboni
3. Kisiasa Msigwa alimtegemea sana Diwani Gervas Kalolo na baada ya Kifo Cha Gervas Kalolo wengi tulijua Siasa za Msigwa zimefika ukingoni
Ulale Unono π
johnthebaptist hivi makamba kafanya nini tena? Nape ni kuhusu kuiba kura, sasa huyu masikini kafanya nini?Kiukweli ilikuwa ni wiki nzito sana kiasi Cha maigizo ya Mchungaji Msigwa kutofuatiliwa kabisa
Mungu wa Mbinguni atuhurumie wiki tunayoanza kesho akatufanyie Wepesi
Ahsanteni
Mlale Unono π
Waliona 2030 ni mbali πππjohnthebaptist hivi makamba kafanya nini tena? Nape ni kuhusu kuiba kura, sasa huyu masikini kafanya nini?
Byabato je? kafanya nini? Pascal Mayalla nipi za undani
Is that true kuwa walianza kuutafuta Urais wa Samia? naye samia akawaamini waliomletea habari?Waliona 2030 ni mbali πππ
Bwashee Kazi ndio imeanza
Wewe uliamini wanasubiri 2030? πIs that true kuwa walianza kuutafuta Urais wa Samia? naye samia akawaamini waliomletea habari?
sikuwa na wazo hata kama kuna kitu kama hichoWewe uliamini wanasubiri 2030? π
Mpuuzi mmoja huna hojaππView attachment 3048175Na mimi je?