Tumeharibu brand ya ligi yetu

Tumeharibu brand ya ligi yetu

wazunguwawili

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2019
Posts
3,984
Reaction score
4,132
Kufuatia kadhia ya kufuta mechi ya simba vs yanga madhara yake ni makubwa.

Tumeua ari ya wanamichezo

Kuna mashabiki hawataenda tena viwanjani

Kuna mashabiki wameamua kuachana kabisa na habari za mpira wa tanzania

Hatuwezi tena kupata wadhamini wa maana kwa ubabaishaji huu wa TFF & Co.

Kwa hakika tumeikosea tasnia ya mpira wa miguu Tanzania,afrika na dunia yote.

Vilabu vijifunze pia kuheshimu na kujali mashabiki wake kuliko kulazimisha kanuni zitumike. Mashabiki ndio tunafanya timu ziwepo kuliko hizo kanuni.

Itachukua miaka kurudisha imani ya mpira iliyokuwa imejengeka.
 
Kusema kweli mm nimeumia sana yaan nikifikiria hela yangu roho inaniuma sana daa yaan naapa sitoenda tena uwanja wa taifa kwa mechi yoyote inayohusu ligi kuu yaan hela yangu bora ningempa bimkubwa angenishukuru au ningempa ata mchapuko angefurahi sana kwa hili sitasamehe bodi ya ligi TFF na wizara ya michezo wote walaaniwe kwa utapeli huu.
 
Back
Top Bottom