Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tathmini yetu (ambayo ni ya uhakika) inaonyesha kwamba Umaarufu wa Chadema umeongezeka kwa zaidi ya 25% kuelekea kwenye Robo ya Mwisho wa Mwaka, huku ikipanda kutoka 60% kutoka ilipokuwa kwenye Robo ya 3 hadi 85% kwenye Robo hii ya 4 na kuipiku ripoti ya Twaweza ya 2017
Jeshi la polisi linatajwa kuifuatia Chadema kwa mbaaali sana likiwa limejinyakulia 10%,
Huku 5% iliyobaki ikigawanywa miongoni mwa viongozi wa Kitaifa, Vyama vingine havikuambulia chochote.
Wadau wanataja sababu za Chadema kuendelea kutamba Nchini Tanzania ni kutokana na Mikakati ya Chama hicho kuamua kuwashirikisha Wananchi wote kwenye mipango yake, huku wengine wakilitumia Jeshi la Polisi kujibu hoja za kisiasa bila Mafanikio, kinyume kabisa cha masuala ya kisiasa yanavyoelekeza (Hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, Mabomu hayawezi kuzima mijadala)
Mwisho, lakini si kwa Umuhimu, Tunaipongeza Chadema kwa kuziteka Siasa za Tanzania kwa kipindi kirefu na tunaitakia kila la heri .
Ujumbe: Tafiti hupingwa kwa Tafiti mpya