Pre GE2025 Tumeingia robo ya mwisho ya mwaka huku umaarufu wa CHADEMA ukizidi kupaa kama Kishada

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tathmini yetu (ambayo ni ya uhakika) inaonyesha kwamba Umaarufu wa Chadema umeongezeka kwa zaidi ya 25% kuelekea kwenye Robo ya Mwisho wa Mwaka, huku ikipanda kutoka 60% kutoka ilipokuwa kwenye Robo ya 3 hadi 85% kwenye Robo hii ya 4 na kuipiku ripoti ya Twaweza ya 2017



Jeshi la polisi linatajwa kuifuatia Chadema kwa mbaaali sana likiwa limejinyakulia 10%,



Huku 5% iliyobaki ikigawanywa miongoni mwa viongozi wa Kitaifa, Vyama vingine havikuambulia chochote.

Wadau wanataja sababu za Chadema kuendelea kutamba Nchini Tanzania ni kutokana na Mikakati ya Chama hicho kuamua kuwashirikisha Wananchi wote kwenye mipango yake, huku wengine wakilitumia Jeshi la Polisi kujibu hoja za kisiasa bila Mafanikio, kinyume kabisa cha masuala ya kisiasa yanavyoelekeza (Hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, Mabomu hayawezi kuzima mijadala)

Mwisho, lakini si kwa Umuhimu, Tunaipongeza Chadema kwa kuziteka Siasa za Tanzania kwa kipindi kirefu na tunaitakia kila la heri .

Ujumbe: Tafiti hupingwa kwa Tafiti mpya
 
Wamejua. Namna ya kutumia matukio yanayotokea , knowing gov ita overreact, and wamepatia. They are famous now
 
Cc. Lucas mashambwa
 
44 VIEW- wako unashuka
 
Chadema hawa hawa walioshindwa Maandamano? 🐼
Maandamano yaliyofanywa na Polisi kwa niaba ya Chadema yalisaidia sana kuipaisha Chadema kwa kuileza dunia kwa vitendo ni nini Chadema inailalamikia serikali ya CCM jinsi inavyotumia mabavu ya vyombo vya dola kukandamiza upinzani, tena wamefanya hivyo kwa gharama ya Serikali yenyewe.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-09-25-20-18-05-1.png
    589.7 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1727624526218.jpg
    42.8 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1727158232732.jpg
    48 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1727158226330.jpg
    48.9 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1727145615769.jpg
    88.5 KB · Views: 2
yaani mnajifariji huku mnalia kwakweli yaani chadema inavyozidi kudidimia inapoteza mvuto kwa wananchi nyie mansema nini? oneni hata aibu jamani hapo hakuna chama ni saccos ya mbowe
 
waliotaka kuandamana ni wahuni tu ndiyo maana chama chenye akili nyingi ccm kikagundua mapema hila za wahuni
 
Ungetokea siku ya maandamano tungekuunga mkono kwa hii taarifa yako lakini wewe ni muhujumu no 1
 
Ukitaka mbowe akupige hadi akuue nenda sahivi ukamshawishi aitishe maandamano kwa yaliyo mkuta ya kuandamana peke yake hilo neno maandamano hataki kuliskia
 
Yalitumika mabilioni ya fedha ya serikali kukusanya mapolisi toka mikoa yote kuja kuwaandamisha kwa niaba ya serikali. Hakika mshauri wa Rais kwenye mambo ya usalama anamuingiza mkenge vibaya sana na sijui kwa manufaa ya nani. Nashauri Chadema watangaze maandamano ya kuwapongeza Polisi kwa kuwasaidia kufikisha kilio chao kwa mifano hai kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…