Pre GE2025 Tumeingia robo ya mwisho ya mwaka huku umaarufu wa CHADEMA ukizidi kupaa kama Kishada

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hatari mno!
 
Nyuzi za mwashambwa siku hizi zimepungua saana.subiri amshaamsha za uchaguzi ndo utajua.
 


Maandamano yaliyofeli juzi kwa kushuhudia idadi ndogo zaidi ya wanachama wetu waliojitokeza wasiozidi 14 tu ikiwemo Mbowe na binti yake ni KIPIMO TOSHA kuthibitha Chadema tumepoteza ushawishi mkubwa sana kwa Watanzania

Hii ni alarm kubwa sana ya kutufanya sisi wanachama na viongozi wetu kurudi kwenye drawing board kujitafakari upya tumefeli wapi kwenye ushawishi kwa WaTz ndani ya utawala huu wa MamΓ‘:

1. Je ni ushawishi na ukubalikaji wa MamΓ‘ umeongezeka kiasi ndio umewapumbaza WaTz..!??

2. Au Chadema tumeishiwa hoja shawishi mbele ya wananchi na wanachama wetu..!??

3. Au WaTz wana kinyongo na sisi namna tulivyokuwa tunashangilia kifo cha Hayati JPM, Raisi jasiri na aliyetokea kuwa gumzo África nzima kwa uchapakazi na uzalendo uliotukuka..!??
 
Angekubalika angeingiza Jeshi barabarani Nchi nzima?
 
Sijui hayo unayosema ukweli wake ila nafahamu kwambo Politics / Politicians na Political Parties zinazidi kupoteza mvuto duniani kwa watu wengi na moja ya sababu ni kwa wahusika ku deal na petty issues na sio mambo yanayamgusa raia moja kwa moja....

No wonder kila siku mnalalamika watu wamejikita kwenye miziki na mipira..., the former has got nothing to offer....
 
Katiba mpya ndio unaita Petty issues?
 
Katiba mpya ndio unaita Petty issues?
Na kinachoendelea kinaleta vipi Katiba Mpya ? Mnajua kabisa Rasimu ya Katiba ya Sita iliyoletwa Mezani ilipinduliwa na aliyekataa Serikali Tatu kutoka Zanzibar mmojawapo ndio huyu Rais wa Sasa..., Sasa mnategemea kinachowekwa mezani ni kipi ? na kitakachopigiwa Kura ni kipi ? Na mwisho wa siku ni kipi kitapita and how ?

Na hapa huu uzi unahusu Katiba mpya au mashindano ya kitoto eti ni nani maarufu ? Kwahio mimi Mwananchi nijikite kwenye kupimana kwenu mabavu nani ni maarufu ?

 
Nadhani wewe ndio huna akili
Hivi serious kabisa wenyewe mnafarijika hapa na hivi vimada vyenu???!!!!! Hao wazee na jumbe za kejeli ulizorusha hapo, kwa akili Yako, zinawainua kipindi hiki?!!! Nimeona nyumbu wenzio wamekuja mbio kuunga mkono hoja pasipo na uwezo wa kung'amua athari zake hasi.

Jingine, nakudokeza tu kama msamaria mwema, wengi tuliopo humu ni watu wazima tutakao vijijini hukoooo wenye wazazi wazee wengi tena wasio na hata ujuzi wa kuandika...............kebehi na matusi kama haya kwa wazee wetu wabatukera kweli (kimya kimya lkn bila wewe mwenyewe kujua). Nafikiri umenielewa hapa..........byuti byuti!!!!!😊😊😊😊😊
 
90% ya Wabunge wa Chadema walitokea Vijijini, Hili nalo wakumbushe waliokutuma
 
90% ya Wabunge wa Chadema walitokea Vijijini, Hili nalo wakumbushe waliokutuma
Bahati nzuri mi situmwi, Nina akili huru sio kawa wewe ambaye Huna jinsi Bali kunena Yale yatakayowafurahisha mbowe, lissu na nyumbu wengine.

Kumbe wametoka vijijini wabunge wenu wengi?!!! Sikujua hilo🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…