Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
HahahaaaNgoja tutafute vyeo kwanza,mengine badae
Tanzania yangu Chini ya CCM
Tumezoea mkuu hata kumi tena sawa tu maana hakuna jipya chini ya CCMMitano tena sio
Na wachezaji wetu wakubwa wamejitoa hawachezi, yaani kila mtu yuko bize na yakeNi ajabu yani hata game haizungumziw sema tumekosa wakucheza nao et Malawi!!
Halafu tutafungwa, tukijitahidi drawNi ajabu yani hata game haizungumziw sema tumekosa wakucheza nao et Malawi!!
Tupo EuroLeo Taifa Stars anacheza na Malawi saa 10:00 jioni katika dimba la Mkapa.
Kiingilio 2000 kwa 5000 tu lakini mchezo huu haujapewa promo kabisa, ndio tuko bize na Euro au Uchaguzi wa TFF?
Mkuu, nilikuwa naangalia EURO lakini baada ya kuisoma hii imebidi nije kijiwe changu kuiona mechi hii.Leo Taifa Stars anacheza na Malawi saa 10:00 jioni katika dimba la Mkapa.
Kiingilio 2000 kwa 5000 tu lakini mchezo huu haujapewa promo kabisa, ndio tuko bize na Euro au Uchaguzi wa TFF?