Elections 2010 "Tumejiandaa Kulinda Kura zetu"

Elections 2010 "Tumejiandaa Kulinda Kura zetu"

Wa Ndima

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2010
Posts
1,526
Reaction score
323
Jamani jambo jema ni kuwa, muda huu nimetoka kuongea na Mwalimu wangu wa shule ya msingi ambaye ni msimamizi wa uchaguzi. Anasema tayari wapo kituoni wakiandaa mazingira ya upigaji kura na masanduku yashafika wanasubiri kukabidhiwa.

Cha muhimu alichosema ni kuwa wanataka Mabadiliko na wako pale kwa shughuli maalumu tu ya KULINDA KURA ZAO dhidi ya mafisadi. Kwa kuwa walitishwa na aliyekuwa mwajiri wao nao leo wanataka kuhakikisha mwajiri huyu anajutia kuwahadaa. Nimefarijika mno kwa maneno yake.
 
Back
Top Bottom