Tumejiandaa vipi kukabiliana na magari ya ulimwengu wa sasa??

Tumejiandaa vipi kukabiliana na magari ya ulimwengu wa sasa??

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Mfumo wa utengenezaji magari duniani umebadilika miaka ya karibuni kutoka kwenye full mechanical kuwa advanced technology jambo ambalo ni changamoto kubwa kwa nchi zinazoendelea ambazo kwa kiasi kikubwa zinategemea magari mitumba (used).

Miaka ya 90 kurudi nyuma magari mengi yalikua hayasumbui sana na spea zake zilikua simple sana kama Land rover 109, Toyota Staut, n.k

Kuna lawama kuwa gari flan mbovu, gari flan mifumo yake ya umeme ina matatizo ila ukweli ni kuwa kama gari zimeuzika sana ulaya na Asia kwa miaka 10 zina ubora ila life span yake inakaribia ukingoni! ukinunua hizi gari kama mtumba lazima likusumbue.

Gari kama hizi zinatusumbua hadi tunasema ni gari mbovu ila ukipeleka kwa wachinna wanatengeneza maana wao walijiandaa mpema.
 
Mimi bado nipo analojia nina double cabin 2.8 natafuta na vw transporter yangu ya kulia bata nimemaliza.
 
Mimi bado nipo analojia nina double cabin 2.8 natafuta na vw transporter yangu ya kulia bata nimemaliza.
kwa kiasi flan upo salama ila sio sana maana litafika kikomo tatizo ni sisi tunaotaka kununua gari za 2009-2015 nyingi zipo advanced sana na mafundi mtaani hakuna!! likibuma ukioeleka mafund wetu hawa wanazidi kuliharibu
 
Ni mda sasa wa kuwatuma vijana nje kwa kushirikiana na Balozi zetu
Kwa kweli kila kitu kinabadilika kila kukicha
Technology imekuwa sana na wajanja hawaachi fursa hizi
Kuna vitu vingi vimeongezwa katika magari na kila mwaka wanaongeza vitu

Itafika mahali dealer's wa magari wataajiri watu kuwafundisha kutumia hayo magari

Sio utani ila magari haya ya siku hizi ni mpaka ufundishwe
 
kweli mkuu na likiharibika ndo shida inaanza mara diagnosis yaan full cimplication na itafika sehem gari Used haliuziki yaan kama simu used vile!
 
kwa kiasi flan upo salama ila sio sana maana litafika kikomo tatizo ni sisi tunaotaka kununua gari za 2009-2015 nyingi zipo advanced sana na mafundi mtaani hakuna!! likibuma ukioeleka mafund wetu hawa wanazidi kuliharibu
[emoji16][emoji16][emoji16] rudin nyumban wazee kumenoga kuna usafir wetu asir
 
Back
Top Bottom