Tumejiandaaje kuwapokea wakimbizi kutoka Uganda?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Kulingana na hali ilivyo huko Uganda kwa sasa ni wazi kuwa yataibuka machafuko ya kutisha Mara baada ya uchaguzi kutokana na namna rais wao wa maisha Museven kuonesha kutokuwa tayari kabisa kuachia madaraka kwa njia za amani.

Sasa swali ni je tumejiandaa kuwapokea mamia kama si maelfu ya waganda watakaoshindwa kuvumilia milio ya siraha nzito za wanajeshi wa Uganda ambao sasa wamethibitishwa kuwa machine za mauaji za Babu kizee Museven.
 
Hili jambo nimeliona muda sana pia, Kagera, Mwanza na Shinyanga wajiandae.
 
Let them come ,kwanza,kagera shinyanga,Mara ,
Ingawa Uganda hawana pisi Kali,ungekua Kama Eritrea hivi,wangekuja hata wote maana kule Wana pisi Kali Sana,bongo ni kubwa kinyama chalii yangu,unatoka nyamwage pwani njia ya kwenda wilayani rufiji makao makuu,kilometa 35 hakuna hata nyumba ,ni mapori tu.tutawapa huko.
 
Uganda ilitakiwa iendelee kuwa jimbo chini ya Tanzania baada ya kumwondoa nduli Idd Amin angalau kwa miaka 20, ile vita ilitugharimu sana. Sasa badala ya kuwa wapole wajenge nchi yao wanaanza vituko...
 
kwahyo wakizingua tupeleke majeshi yetu kutuliza amani na kuwafanya nchi mtoto ya tanzania!?.
 
Let them come ,kwanza,kagera shinyanga,Mara ,
Ingawa Uganda hawana pisi Kali,ungekua Kama Eritrea hivi,wangekuja hata wote maana kule Wana pisi Kali Sana,bongo ni kubwa kinyama chalii yangu,unatoka nyamwage pwani njia ya kwenda wilayani rufiji makao makuu,kilometa 35 hakuna hata nyumba ,ni mapori tu.tutawapa huko.
zipo mkuu zimeload kweli kweli
 
Waje tu maana zile pisi za Kiganda sio mchezo,,
 
Uganda ilitakiwa iendelee kuwa jimbo chini ya Tanzania baada ya kumwondoa nduli Idd Amin angalau kwa miaka 20, ile vita ilitugharimu sana. Sasa badala ya kuwa wapole wajenge nchi yao wanaanza vituko...
Ili wawe wapole wanatakiwa wafanye nini?
 
Hivi ilikuwaje tukatumia gharama kubwa namna hiyo kumwondoa tu mtu madarakani, nafikiri kwa sasa intelejensia na teknolojia vimekuwa sana kuweza kuwathibiti watu wa aina ya nduli Idd Amin...
 
Back
Top Bottom