GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wachambuzi pekee wa Uchumi ambao niliwakubali na nitawakubali ni Mzee Lipumba, Marehemu Ngowi na aliyekuwa Mwalimu ( Mhadhiri ) wangu wa Somo la Uchumi Chuoni SAUT Mwanza Luzangi, ila wengine Wote kamwe sitopoteza muda Wangu kuwasikiliza kuanzia na Mchumi Mpuuzi Mmoja wa Saa 11 Jioni ya Leo mpenda Waganga wa Kienyeji na kufanya Mikafara.