GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
chura huwa mnammaanisha nani haswa?Wachambuzi pekee wa Uchumi ambao niliwakubali na nitawakubali ni Mzee Lipumba, Marehemu Ngowi na aliyekuwa Mwalimu ( Mhadhiri ) wangu wa Somo la Uchumi Chuoni SAUT Mwanza Luzangi, ila wengine Wote kamwe sitopoteza muda Wangu kuwasikiliza kuanzia na Mchumi Mpuuzi Mmoja wa Saa 11 Jioni ya Leo mpenda Waganga wa Kienyeji na kufanya Mikafara.
Nimecheka sana Mkuu.Wachambuzi wote wa siasa na uchumi Tanzania ni machawa wa chura wa Kizimkazi!
hilo ni given na kwa taarifa za kiintelijensia Mwigulu kashawaweka sawa baadhi ya madokta mshenzi ili tu akimaliza waanze kujipitisha pitisha kwenye media huko kuisifia jinsi ilivyonzuri huku mamilioni ya watanzania wakilala na njaa, Bongo bahatimbaya.Wachambuzi pekee wa Uchumi ambao niliwakubali na nitawakubali ni Mzee Lipumba, Marehemu Ngowi na aliyekuwa Mwalimu ( Mhadhiri ) wangu wa Somo la Uchumi Chuoni SAUT Mwanza Luzangi, ila wengine Wote kamwe sitopoteza muda Wangu kuwasikiliza kuanzia na Mchumi Mpuuzi Mmoja wa Saa 11 Jioni ya Leo mpenda Waganga wa Kienyeji na kufanya Mikafara.
ni code/msamiati mpya kama ule ulioitwa jiwechura huwa mnammaanisha nani haswa?