Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Nilidhani baada ya Mnajimu Sheikh Yahya Hussein kufariki hatatokea mwingine! Kumbe na wewe upo!
 
KAMA MKURUGENZI WA IDARA YA......MKOA WA....... NIONDOE HOFU KWA WATANZANIA KWAMBA KWA SASA TUKO SEHEMU NZURI KATIKA KUMFATILIA KIBARAKA WA MABEBERU KWA JINA LA KIGOGO
 
Mtaani watu walifurahi wakisubiri mtu age ni kipimo kuwa hata wakimuondoa kutakuwa hakuna hata maandamano ya kupinga wala kulaani jamaa kuondolewa!simple!
 
Huo umoja wa kitaifa kuyumba sababu ya tweets za akina Zitto mzee? Yaani kakikundi ambacho tunajua hadi fake IDs zao ndio unasema taifa? Unajua mliheshimika sana kiasi kwamba sasa significant number imeanza kujua motives zenu!
Basi hizo tweets unazozidhrau leo zimehangisha Tsh 350 Milioni kwa siku 2 na kuwatoa viongozi wa CHADEMA gerezani. Subiri siku tweets zitapomtoa Jiwe Ikulu kama panya buku.
 
Ndio umesema nini? Hakuumwa?
 
Mficha maradhi...........!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…