Tumejifunza nini kombe la dunia chini ya miaka 17

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
Ikiwa linafikia fainali zake siku ya jumapili kombe la dunia chini ya miaka 17 sisi Watanzania tumejifunza nini ili kuendeleza soka letu hapa nchini, tumeona timu ya Nigeria ikiingia fainali na timu kama Bukinafaso ikifanya vizuri kwenye mashindano hayo. Natoa changamoto kwa TFF kuyaangalia mashindano hayo kama upeo wa kuendeleza soka letu nchini
 
nafikiri chama kama hakina kiongozi bora hakina maana! wananchi wanapaswa wasichague chama! bali wachague 'kiongozi bora' atakayewaongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…