Hapo Jana, Trump ameapishwa kama raisi wa 47 wa U.S, moja ya hatua alizochukua ni kuitaka U. S kujiondoa haraka Sana WHO.
Hakuna asiejua kuwa America inamchango mkubwa Sana kwenye budget ya shirika hili, na wote tunakubaliana kuwa who ina umuhimu Sana katika Ku pambana na Changamoto za Afya, hasa magonjwa kama HIV, TB, COVID-19🦠, malaria, Ebola n.k
Kujitoa kwa America kwenye shirika hili ni Changamoto kubwa ktk ulimwengu wa tatu.
Sasa je tumejipanga na hili?
Hii ni hatua moja tu ya Trump kwenye UGA wa ki mataifa, tutegee hatua nyingi zaidi zenye athari kwetu.
Yote ya yote, huenda mungu amemrudisha Trump kuwapa somo watawala wa ulimwengu wa tatu kutumia rasilimali tulizonazo vizuri kwa maendeleo ya watu wao, kuwa wasiweke maisha ya watu wao kwenye mikono ya watu wengine. Kuwa hakuna Masada wa kudumu hivyo cha muhimu ni kujitegenea.
Asante, Tumejaduli Sana CCM na Chadema sasa tujadili tunasongaje mbele katikati ya Sera hizi za Trump.