A
Jamani wanafunzi tumekosa vyuo naomba TCU wafanye haki yani kweli wanachukua 1.3 hadi 1.6, haya sisi wengine twende wapi sasa, yaani sina tafauti na mt 3 na 4 kweli sio sawa kabisa hata kama ufaulu mkubwa, unakuta kabisa nimekidhi kigezo wanasema eti pamejaa limited sasa ndio nini jamani na second selection tukose sio 🥲🥲🥲🥲💔
View attachment 3465208View attachment 3465209
Sasa wew unalaumu tcu kwa nn?Jamani wanafunzi tumekosa vyuo naomba TCU wafanye haki yani kweli wanachukua 1.3 hadi 1.6, haya sisi wengine twende wapi sasa, yaani sina tafauti na mt 3 na 4 kweli sio sawa kabisa hata kama ufaulu mkubwa, unakuta kabisa nimekidhi kigezo wanasema eti pamejaa limited sasa ndio nini jamani na second selection tukose sio 🥲🥲🥲🥲💔
View attachment 3465208View attachment 3465209
Ni kwamba mimi ndio sijaelewa au wewe na mleta mada ndio hamjaelewa, mbona kama mfumo emwambia nafasi imejaa, yaani kosa lake ni kuchelewa kuconfirm na sio mambo ya points kwenye division?Sasa kwa nini na wewe hukupata hiyo 1.3?
Aliomba mapema ila akakosa nafasi kwa sababu minimum ya course ina division 1.6 ila yeye hajafikishaNi kwamba mimi ndio sijaelewa au wewe na mleta mada ndio hamjaelewa, mbona kama mfumo emwambia nafasi imejaa, yaani kosa lake ni kuchelewa kuconfirm na sio mambo ya points kwenye division?