mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Ipo haya, Katiba mpya ingeruhusu ile mikoa inayoongozwa na vyama fulani(upinzani),viwe vinatoa mpaka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya. Maana uwezi ukawa na asilimia kubwa ya watawala katika mkoa fulani alafu wanakuja wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa wote ni makada wa CCM ,maana mikwaruzano kama hii haitaisha na pia nadhani inaweza kuwa ni njia ya ushindani wa kimaendeleo kwa mikoa kwa mikoa inayoendeshwa na vyama tofauti.
By mr mkiki........
By mr mkiki........