Tumekupa milioni 5 ndani ya miaka 3 utakuwa umezalisha kiasi gani?

Mifano miwili ya biashara imetajwa hapa, na yote ina viashiria vya kukwepa kulipa kodi. Pengine mtupe mifano inayoonesha gharama zote na kodi ikiwamo ili kupata picha ya faida na pia kuwa na amani dhidi ya kuja kukamatwa na serikali.
 
Kuna Biashara huguswi na TRA si kwa kukwepa bali utaratibu wake tu mfano una shamba la
kuku kweli utaenda kulipia TRA?
 
Wazo la Comoro lilikuwepo lakini si kwa biashara ya Korosho kuna vitu vingine tu
nilielekezwa na watu wa Chamber of Commerce.
Uturuki ndiyo walikua wanunuzi wazuri wa korosho na wao na Wahindi ndiyo husambaza Ulaya. Jaribu kutafuta soko Uturuki kupitia ubalozi.
 
binafsi milion 5.. nikiagiza tshirt za watoto tu 1500 thailand.. kisha naprint uniform za wateja wangu wenye shule na walimu wakuu.. within 6 months natengeneza milion 5 ingine... kama ni december kipindi shule zinafunguliwa.. kwa mtaji wa milion 5 natengeneza milion 5 ingine in 1 month

M5 fungua duka la dawa muhimu kwa Dar kwa siku unauza hadi laki,faida ya dawa ni karibu nusu kwa nusu yaani bei ulionunulia mzigo ukiuza unapata mara mbili kasoro...

Gharama za uendeshaji sio kubwa kwani pesa inaingia
Mtu wa kuuza unampa laki na nusu,kodi laki umeme weka 30 lakini kwa mwezi unauza hadi 2.5M ukitoa gharama bado unabaki na pesa nzuri tu...
Miaka mitatu unakua unaduka mbili kubwa
 
Mifano miwili ya biashara imetajwa hapa, na yote ina viashiria vya kukwepa kulipa kodi. Pengine mtupe mifano inayoonesha gharama zote na kodi ikiwamo ili kupata picha ya faida na pia kuwa na amani dhidi ya kuja kukamatwa na serikali.
Mkuu kwa taarifa yako tu ni Kwamba kwa sasa kodi za hii nchi sio rafiki hata kidogo na wafanye biashara wengi wamechemka tumebaki wale wazee wa timing tu wewe unadanganywa kua mzalendo wa kulipa kodi wakati wamiliki wa magogoni hawalipi kodi kazi yao ni kuitumia hiyo kodi yako vibaya na kujilimbikizia marundo ya fedha kwaajiri ya maisha yao ya baadae we jifanye mzalendo tuone
 
Reactions: Auz
Ukweli ni kuwa na amani wakati unatengeneza pesa na kuendesha maisha. Wizi wa wanasiasa nauelewa, na ni sisi wenyewe ndio tunawakabidhi mamlaka makubwa kuliko inavyostahili.
 
Fursa zipo sana tu tatizo watu hawataki kufunguka yaani Utafiti nilioufanya umenifanya
nigundue fursa nyingi sana. Tuwape nafasi hapa watu wafunguke.
Wewe mwenyewe ndio wale wale tu, mbona wewe haujafunguka hiyo biashara huyo mdau anayoifanya umeishia kutufanyia hesabu tu
 
Ukweli ni kuwa na amani wakati unatengeneza pesa na kuendesha maisha. Wizi wa wanasiasa nauelewa, na ni sisi wenyewe ndio tunawakabidhi mamlaka makubwa kuliko inavyostahili.
Mimi natambua Sana umhinu wa kulipa kodi lakini Kwa Sasa wacha niwe kati ya wakwepa Kodi no way coz Serikali imeshindwa kuweka mazingira mazuri kwa mlipa kodi wake mfano Huku kanda maalumu mfuko kg 50 wa Cement twiga unauzwa 21000 tz Kenya mfuko wa ujazo huo huo unauzwa 13000 na kuipata hiyo Cement toka Kenya ni Easy tu Sasa sijui hapa ntautoa wapi huo moyo wa uzalendo
 
Reactions: Auz
Yaani muda mwingine ndo maana baadhi ya wadau hawataki kuanzisha nyuzi za kushare michongo maana wengi watapita kimya kimya kama hawauoni. Hao hao wanaoupita ndo wanakuja kulialia hali ngumu.
Wanaanza kuuchambua kitaalamu.Nenda jukwaa la biashara na kilimo kuna mengi watu wameyaweka yamejilalia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…