Msiba usikie tu kwa jirani ila usiombe kupatwa nao.Basi inaonyesha hawana Spea Taili,tunaziba taili zinaonyesha zimechoka!
Huduma za watu inabidi ujali abiria, uwekezaji wa kuwa na Mabasi mengi huduma kwa wateja Mbovu,unatafuta anguko katika uwekezaji huo!
Naamini sitatumia usafiri wa hii kampuni,hawapo responsible.
Zama za kuweka vilaka kwenye basi za masafa marefu zimepitwa na wakati,ni enzi za Nyerere!
Katarama tupo mikumi kama anakuja tumsubirieNdugu abiria naomba utuvumilie wakati tukipambana kurejesha huduma, au kama unaona unacheleweshwa unaweza kushuka na kupanda Katarama
Asante kwa uelewa ndugu mteja π
Ngoja tusubir maamuzi ya ndugu abiriaKatarama tupo mikumi kama anakuja tumsubirie
huenda wameshuka viwango hao jamaa wa ABC, walikua maridadi sana hapo nyuma kidogo kuhusu muda wa kuanza safari na kumaliza safari.Basi inaonyesha hawana Spea Taili,tunaziba taili zinaonyesha zimechoka!
Huduma za watu inabidi ujali abiria, uwekezaji wa kuwa na Mabasi mengi huduma kwa wateja Mbovu,unatafuta anguko katika uwekezaji huo!
Naamini sitatumia usafiri wa hii kampuni,hawapo responsible.
Zama za kuweka vilaka kwenye basi za masafa marefu zimepitwa na wakati,ni enzi za Nyerere!
Halafu hawana apology,wanadanganya abiria kuwa tunajaza upepo! Kumbe taili lililochoka linawekwa kiraka kwa ndani baada ya kutoa kwenye rimu!Msiba usikie tu kwa jirani ila usiombe kupatwa nao.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Ndugu abiria naomba utuvumilie wakati tukipambana kurejesha huduma, au kama unaona unacheleweshwa unaweza kushuka na kupanda Katarama
Asante kwa uelewa ndugu mteja π
Customer care sio nzuri! Kupata sehemu ya kuweka kiraka taili,tumezungushwa! Tungekuwa Doma muda huu,tunatizamana tu hapaYutong D14 inawekwa kiraka kwenye tairi kmmmk ABC Upper Class wanazingua na bado hawajawapeleka kwenye Hoteli yao CATE chips vijiko 3 buku 5 mamaΓ©
Kumbe nalo limekula mueleka πView attachment 3693937
π π π π
Hahahhhhh JF tunapewaga matumaini eti kumradhi kuna changamoto kidogo!Ndugu abiria naomba utuvumilie wakati tukipambana kurejesha huduma, au kama unaona unacheleweshwa unaweza kushuka na kupanda Katarama
Asante kwa uelewa ndugu mteja
Pale sili. Bora liwalo na liwe. Wapuuzi sana wale. Elfu 10 hushibiYutong D14 inawekwa kiraka kwenye tairi kmmmk ABC Upper Class wanazingua na bado hawajawapeleka kwenye Hoteli yao CATE chips vijiko 3 buku 5 mamaΓ©
Ila hii chuma tamuView attachment 3693937
π π π π
Kumbe nalo limekula mueleka π
huenda wameshuka viwango hao jamaa wa ABC, walikua maridadi sana hapo nyuma kidogo kuhusu muda wa kuanza safari na kumaliza safari.
kama wamefikia hatua ya kukosa spare tajiri , bas wana hali mbaya mno kwa sasa.
Pole gentleman π