Uchaguzi 2020 Tumekwisha kuona rangi zake. Je, anastahili miaka mitano mingine tena?

Sahau kuhusu Tanzania, hayo majaribio fanyianeni huko huko ufipa
Hahahahhah umepanic hahahaha...... Poleni sana mchezo huu hauna asila. Hatakama ni ukweli vumilia ili usemwe kisha chutama kwa kukili umekosea kutuleta mtu huyu.
 
Uongozi haujaribiwi. Kuipa nafasi saccos, ni kujirudisha nyuma miaka 50.
CCM ingekuwa imetoka madarakani mapema tungekuwa mbali sana,kuendelea kuongozwa na CCM tumesimama kimaendeleo ambapo tungetakiwa tuwe miaka 50 mbele huko!Yaani maendeleo tutakayokuwa nayo 2070 ni maendeleo ambayo tulipaswa kuwa nayo leo!CCM ni dimbwi la umasikini kwa watanzania!Wote wezi tu na wanaiba kila mmoja kwa stye yake!
 
Mm kwakweli nimeshangaa tumeambiwa kuwa uongozi haujaribiwi sasa mbona wote tumbua tumbua ilifanyika maana yake nini ?kamawalikuwa wanateuliwa walikuwa nauhakika nao hawakuwa wanajaribu kutumbua kulitoka wapi?
 
 
sidhan kama ni sawa kumpa mitano tena, maaana inabidi tubadilishe katiba awe president wa milele
 
Hata kumi anastahili mitano kitu gani ... wabongo ni mapopoyo wavivu sana wanapenda wakae zao baa ata asubuhi ya j3 wapinge mbege, wacha Pombe awanyooshe watu wavivu wa kufikiri wanaowaza starehe tu.
 
Lugha nzuri yenye kuja hofu,kiukweli mnapenda kuitumia ili kuwatia hofu watanzania. Lakini kwa sasa tunahitaji chama mbadala wa CCM ili kuiondolea ile hali ya umungu mtu ccm na viongozi wake.
Chadema hata kujiongoza wenyewe imekuwa shida
Chama kinapokea ruzuku kila mwezi m 300!
Siyo kujenga ofisi tu, hata mabango ya mgombea wao wa urais wameshindwa!
Lisa, chama hakina pesa
 
Hata kumi anastahili mitano kitu gani ... wabongo ni mapopoyo wavivu sana wanapenda wakae zao baa ata asubuhi ya j3 wapinge mbege, wacha Pombe awanyooshe watu wavivu wa kufikiri wanaowaza starehe tu.
Unakosea,mh amekwisha poteza haki ya kuongoza tena. Ameonesha kupwaya kwenye nafasi aliyopewa. Kunahaja ya kubadilisha mwingine ambaye ni Tundu A. Lissu
 
Ni wakati wa kuipumzisha ccm.
 
Chadema hata kujiongoza wenyewe imekuwa shida
Chama kinapokea ruzuku kila mwezi m 300!
Siyo kujenga ofisi tu, hata mabango ya mgombea wao wa urais wameshindwa!
Lisa, chama hakina pesa
Tena inajitahidi sana,tunapaswa kuwapongeza. Ruzuku wanayopokea ni kiasi kidogo sana tukilinganisha na kazi kubwa ya kuwatoa matongotongo mtu kama wewe,pia ukilinganisha na ujenzi mkubwa wa taasisi yenyewe kuifanya kuwa imara. Hongereni sana CHADEMA kwa kazi kubwa mnayoifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…