Uchaguzi 2020 Tumekwisha kuona rangi zake. Je, anastahili miaka mitano mingine tena?

Kuwabambikia kesi wapinzani kutazidi mara dufu
 
CCM hutumia pesa nyingi kukandamiza demokrasia kuwabambikia kesi kuwahujumu kuwadhoofisha wapinzani badala ya maendeleo ni vigumu Tanzania ipate maendeleo katika mfumo huu wa hovyo na kishetani
 
Ruzuku ya CCM inapigwa kifisadi na siku wakiruhusu CAG aingie huko CCM wataenda kukamatwa mpaka akina Yusuph makamba kinana na akina polepole na wenzao, CCM kuna ufisadi wa kutisha na kisingizio kikubwa cha ufujaji wa pesa za CCM ni kudai wanazitumia kudhoofisha chadema,
 
Nasisitiza wapimwe afya wagombea wanaowania ridhaa ya kuiongoza nchi. Maana mgombea mmoja msafara wake nasikia nusu ni madaktari 😎
 
Baada ya mfumo wa vyama vingi kuingia rasmi mwaka 1991 ilipaswa majengo ya CCM yagawanywe kwa vyama vya upinzani kwa usawa lakini mpaka sasa CCM imekalia mali viwanja majengo ya vyama vyote kienyeji pasipo kuwagawia tokea mwaka 1991, chadema hawaitaki ofisi ingine kwani wanajua ofisi zao zipo kwenye majengo waliyopora CCM kienyeji pasipo idhini ya vyama vyote vya upinzani.
 
Labda hujui kwa nini tunachagua kiongozi.
Tunachagua kiongozi kwanza ili tupate mtu wa kutuongoza.
Pili psychologically, tunachagua kiongozi ili tupate mtu wa kumlaumu pale tunaposhindwa kufikia malengo.. Ukishindwa kumshonea mkeo gauni zuri, unakuwa na sababu.. Magufuli kabanaa!
Ukishindwa kujenga nyumba nzuri unakuwa na sababu, Magu kabanaa! Hii inakupa psychological relief kuona kuwa that is not a personal failure but ni mfumo ndio unakubana.. Hata akiingia ikulu malaika, naye ataambulia lawama kibao kama anazopata Magufuli kutoka kwa baadhi ya watu kwa kuwa binadamu tumeumbwa kutafuta scape goat.
Mkumbuke Adam, alipoulizwa kwa nini amekula tunda, lawama akazihamishia kwa Hawa. Hawa naye alipoulizwa, lawama akazihamishia kwa nyoka.. So we always need a strong man to blame, thats why we still need Magufuli for another five years to deal with everything that troubles your minds!
If u see people venting their anger to Magufuli, they do a right thing for a right person.. Sio kwa kuwa wanamchukia bali kwa kufanya hivyo ndivyo wanapopata faraja, sawa tu na mtu aliyepiga chupa mbili za wine! 😛😀😛.
So, they will always do that!
 
HAHITAJI HATA MWAKA MMOJA MWINGINE HUYO TAPELI MAGUFULI.
 
Bunge likivunjwa, nchi ikabidhiwe kwa Jaji Mkuu mpaka baada ya uchaguzi Rais atakapopatikana. Hii itawapa wagombea wote a fair game.
Na CCM et-al wakubali kuwa na sheria zinazo ruhusu udhibiti wa viongozi, mtu mmoja kuwa alpha na Omega ni hatari. Hii ni muhimu kwa ngazi zote za uongozi.
 

Rangi zake za Maendeleo zimeonekana na anapewa miaka mitano tena na Watanzania,Tumemuona kwa miaka mitano ,amefanya mengi sana na tunaamini atazidi kufanya mengi.
 
..ccm tumeijaribu toka mwaka 1977.

..Ni miaka 43 sasa lakini imeshindwa kuongoza.

..Jpm amekuwa kwenye nafasi kubwa za uongozi toka mwaka 1995.

..miaka 20 ya uwaziri, na miaka 5 ya Uraisi.

..kwa maoni yangu, Jpm hana jipya la faida au maendeleo analoweza kutuletea.
 
CCM imejiandaa kushinda kwa hali yoyote. Ilipoka uenyeviti mitaa na vijii, itapoka udiwani, ubunge na urais. Hapatakuwa na wa kumwambia hapo mnapotea, na ndio muendelezo wa anguko la uchumi na maendeleo ya nchi kwa ujumla. Historically tawala za aina hii haziondolewi kwa sanduku la kura, bali kwa nguvu ya umma. Na kwa Tanzania hatua hiyo bado sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…