Uchaguzi 2020 Tumekwisha kuona rangi zake. Je, anastahili miaka mitano mingine tena?

Safari hii hakuna kukubali kuibiwa kura mkuu mwanzo mwisho.
 
Bunge likivunjwa, nchi ikabidhiwe kwa Jaji Mkuu mpaka baada ya uchaguzi Rais atakapopatikana. Hii itawapa wagombea wote a fair game.
Kwa sababu Jaji mkuu alichaguliwa ufipa.......hakuna rangi taacha kuona mwaka huu
 
Inapendeza ukaweka na viambatanisho vya malalmiko yako
Itapendeza sana na utakuwa umeeleweka zaidi,nje ya hapo ni porojo tu
 
Sasaivi kuna mgao wa umeme usio rasmi umeanza Tanzania, yote haya ni kuzuia wananchi kupata Habari za Tundu Antiphas Lissu!!

Kaweka sheria mbovu na kandamizi kumzuiaLissu hajafanikiwa, Kapiga marufuku drones hajafanikiwa, kazuia Lissu kutumia helicopter hajafanikiwa. Sasa kaamua kuanzisha mgao wa umeme, na bado Hatofanikiwa.

Watanzania tumeshaamua kwenda na Lissu mwaka huu. Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025
 
Mwisho wake ni 28/10
 
Inapendeza ukaweka na viambatanisho vya malalmiko yako
Itapendeza sana na utakuwa umeeleweka zaidi,nje ya hapo ni porojo tu
Kipi ambacho kisicho fahamika kwa jiwe na wazee wa ndiyo ipite.... Tunafahamu mnacho kipanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…