INAUZWA Tumeleta taa za solar kwaajili ya ulinzi mabandani pia unaweza tumia hata majumbani

mrkazi360

Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
20
Reaction score
15
Okoa gharama kwa kufunga taa hizi za solar.

Taa hizi zinamfumo wa kujiwasha zenyewe kila baada ya masaa kadhaa kama utakavyo iseti

pia zinakuja na remote control yake ya kuseti

Zina sensor imara yenye uwezo wa kuhisi giza kisha ujiwasha.

Taa hizi haziathiriki na maji kwani zina water proof.

Zina mwanga mkali sana kuliko taa ambazo umezoea hudumu kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka 7.

Bei yake ya ofa ni Tsh60,000/=

●Call
0656 446 991
0747 608 608

Tupo dar es salaam Tegeta kwa ndevu darajani opposite na The one hall njia ya kwenda jeshini .

TUNA MAWAKALA MIKOANI KOTE

 
Naweza kununua moja?
 

Watts ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…