Tumeleta vifaa vya kupimia unyevunyevu kwenye nafaka

Tumeleta vifaa vya kupimia unyevunyevu kwenye nafaka

Joined
Nov 6, 2016
Posts
77
Reaction score
271
Tumeleta vifaa vya kupimia unyevunyevu kwenye nafaka

Comrade Ally Maftah

Founder & CEO - CAM STORE

(humidity meter for cereal and oil seed)

Unapo kuwa unahitaji kuhifadhi nafaka zako kwa muda mrefu basi ni vyema upime ujuwe kiwango cha unyevu unyevu lasivyo unaweza pata hasara kubwa.

Athari za unyevu nyevu kwenye nafaka zaka endapo ukizidi.

  • Kuota bakteria
  • Nafaka kuanza kuota
  • kutengeneza fangasi (mould)
  • viroboto

Pia endapo unyevu nyevu utapunguwa husababisha

-mbegu kupasuka
-mbegu kupoteza hubora wake.

Call 0762212623


#kifaachakupimiaunyevu nyevukwenyemazao#
IMG-20230929-WA0075.jpg
 
Weka bei mkuu. Inaweza kucheck humidity ya udongo?
 
Back
Top Bottom