Tumemchoka sasa Mtangazaji wa TBC1 na TBC Taifa Enock Bwigane abadilike upesi na huu ushamba!

Dah kwenye la liga huwa wanatangaza kwa kiswahili ,Charles na bwigane

Ebwana bwigane anachapia mno mpaka kero na huwa nachukizwa mno na utangazaji wao wa kiswahili wanatukosesha ladha ya mpira ,huyo bwigane anachanganya majina ya wachezaji ,hadi timu Mara nyingine anakosea [emoji23]


Nilitaka kutoa thread kuhusu huyu mtangazaji na kuhusu la liga chini ya azam

Kiukweli mpaka unaboeka ase
 
Hivi kuna mimtu inaangalia tbc hivi sasa?
Limkituo lenyewe linatangaza habar za uongo...
Yaani natamani nilifute hilo limsteshen kwenye king'amuzi nisilione kabisa!
Kuwa makini utakufa na stress za chuki zisizo na msingi
 
Hivi bado mtu unaangalia TBC hii TV ipo mahususi kwa ajili ya viongozi tu ndio wanaoweza kuangalia mm nina zaidi ya miaka 10 sijaangalia mpaka nimepandikiza chuki kwa watoto wangu waichukie kabisa na nimefanikiwa 100% halafu hata sijui kwanini naichukia
 
hahahaaaaa
huwezi jua,kwa kuchomekea huko kijiji chao kizima kinasikiliza tbc taifa
huoni kaongeza wasikilizaji?
 
Maelezo meeeengi, umeandika gazeti zima kisa anaongea kinyakyusa? Eti maadili ya utangazaji we jamaa bhana, angeongea kiingereza ungemsifia.
 
Mimi sina shida na Lugha anayochangia tatizo langu kwake anaonyesha sana yeye ni Yanga tena usiombe Simba akawa ametanguliwa na Mbao FC yaani nilitamani kuzima redio, lakini kingine nilitaka kumuomba Mkurugenzi Mkuu wa TBC kumsafirisha mwl.Kashasha kwenye mechi za mikoani maana ni mwl.mzuri sana
 
alijua zambia wanamuangalia mkuu. msamehe sana
 
Ni sehemu ya burudani mkuu!
Umesahau kuna mwingine hotuba za kitaifa kabisa lazima aweke kisukuma!
"Hiiiiiii bhangosha" na rais wa bank ya dunia yupo anasikiliza siku ile pale ubungo mataa!.Sembuse huyo tena kwenye michezo
Mwambie huyo
 
Mbona hujahama nchi kwa kusikia mkuu wa nchi anaongea Kikwao? aliyesema ni nyivu za kike hajakosea , kuongea lugha yako sio ukabila,ukabila ni ubaguzi kwa wasiokuwa kuwa wa kabila lako.
 
Hivi hiyo MEDIA mnaisikiliza ya nini kama na nyie hamtaki kukereka kwa kukusudia wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…