Tumemchoka sasa Mtangazaji wa TBC1 na TBC Taifa Enock Bwigane abadilike upesi na huu ushamba!

Mleta hoja una hoja nyingine zaidi ya hiyo?.Kama alivyosema mdau mmoja mbona mwenzake Mwalimu Kashasha anachanganya kiingereza kwenye maelezo na hujamsema?Enock ni mmoja wa Watangazaji bora wa mpira wa miguu redioni (kwangu ni namba 1).Mara nyingi huyatumia kama vionjo kwenye mechi zinazohusu timu za Mbeya City na Prison na hana nia yoyote ya Ukabila.Mtangazaji Charles Hilary wakati akiwa RTD alitumia vionjo hivi kwenye mechi za Tukuyu Stars au Mecco.Unajua hapa nchini kuna lugha za makabila fulani zinavutia masikioni mwa wasikilizaji ndiyo maana hutumika kama vionjo vya matangazo ya biashara redioni mfano:Aise Meku....,nitakuarrest Mura,namgambila inafu, nshomile bwana mpaka fomu six, ndaga fijo....nk.
 
Afadhali angetagaza kisukuma lugha ambayo inajulikana na wengi japo mipango inafanyika mipango ya kuiboresha ili mda si mrefu ikawa lugha ya taifa!
 
Ni Mtangazaji Bora wa Mpira aliyesalia East Africa..
Mashabiki ya Simba baada kuona mnazidi puyanga na timu lenu mwahamishia hasira kwa watangazaji..!!

Nyivu za kike..
Mkuu nyivu ndio wingi wa wivu? Hahaaaa
 
Inaonekana mtoa mada unapenda sana ukabila, ndo maana unachukizwa na matumizi ya lugha ya Kinyakyusa lakini hukemei matumizi ya Kiingereza kutoka kwa Mwalimu Gashasha.Acha upotoshaji wa kimantiki.
 
Mma umwana ujhu nndeke aghoneghe ukutuhobhola fiijho muunda twe bha kukaajha. Kyala aje nungwe Bhwighane kukaajha taasi.
 
Binadamu mna moyo sana mm Hiyo TBC nimeshaisahau kama ipo
 
Binadamu mna moyo sana mm Hiyo TBC nimeshaisahau kama ipo
Mimi naipenda kwa sababu ndio Tv pekee pendwa inamuinyesha Bashite, big up, nyingine tupa kule. Viewers tumeongezeka huku.
 
Ni sehemu ya burudani mkuu!
Umesahau kuna mwingine hotuba za kitaifa kabisa lazima aweke kisukuma!
"Hiiiiiii bhangosha" na rais wa bank ya dunia yupo anasikiliza siku ile pale ubungo mataa!.Sembuse huyo tena kwenye michezo
Aisee
 
Kwani tatizo nini wewe kuchukia ndio unakuja na hitimisho kuwa watu wote hawapendi
 
Sema umemchoka wewe sio kwamba tumemchoka wote,kwanza sisi wengine hata hatumjui maana Mara ya mwisho kisikiliza TBC Ni miaka kama mitano nyuma,...sa nitamjulia wapi?,....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…