Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Nchi yetu ni masikini lakini ina utajiri mkubwa wa maliasili,lakini Je maliasili zetu zinaweka ugali mezani kwenye familia ngapi nchini? Je maliasili zetu zinatusaidia vipi kwenye kuondoa umasikini kwenye jamii yetu nchini? Maswali haya kila mtu anajiuliza,lakini jibu ni kwamba si utajiri wa maliasili unaoweza kuifanya nchi kuwa tajiri bali ni mfumo wa kielimu, kisiasa, kisheria, kifedha na kiutawala ndio unaoweza kugeuza maliasili na kuleta utajiri kwenye nchi na jamii yake,ni uwezo wa kubuni, kuvumbua na kufikiri unaoweza kuleta ugali katika kila meza ya Mtanzania, habari ya nchi na utajiri wa maliasili inafanana na habari ya mwanamke mzuri aliyenyimwa akili.
Je, tumewekeza kiasi gani kwenye kujenga rasilimaliwatu iliyo na akili,elimu,maarifa,ujuzi, Uzalendo na nidhamu ya kutosha kuweza kuleta utajiri kwenye nchi yetu na jamii zetu,tukiendelea kubweteka miaka kadhaa ijayo tutakuwa watumwa katika nchi yetu wenyewe, hatutavalishwa vitanzi shingoni wala kuchapwa bakora bali kukosa akili kwetu ndio kutatuingiza utumwani, Kenya ambayo ni nchi ya nane kwa utajiri barani afrika,haina utajiri mkubwa wa maliasili kama ilivyo Tanzania,Kenya ina raia wenye elimu,akili,ubunifu na nidhamu,kama ilivyo Rwanda, Kenya inaamini raia wake mmoja anaweza kuleta ugali mezani kwenye familia kumi, na uchumi wa nchi utaongezeka pasipo kuwa na maliasili yoyote.
Experience is the best teacher,tunachoshindwa kuelewa ni kuwa hata wazungu tunaowaabudu walipitia vipindi vigumu sana ndio akili yao ikaanza kufikiri na kubuni maajabu tunayoyaona leo ikiwemo Umeme tunaotumia,wazungu wameishi katika ardhi mbovu na baridi, wamepita katika majanga mengi ya magonjwa, wameuana kwasababu ya imani za kichawi na hiyo ndiyo chachu yao ya mabadiliko yao, imewajengea uwezo mkubwa wa akili,kujiamini na most importantly uvumilivu. By the time wametengeneza meli na bunduki na kuanza kutawala mabara yaliyokuwa yanakula bata it was too late, I dont blame them,I admire them. They survived, conquered and kept on moving forward,ila tatizo we never try to learn from history, Darwin alieleza hichi nilichoeleza simply, survival is for the fittest, so what do you expect from races which have survived the worst and conquered the world?
Akili (Intelligence) is a broad term,It is knowledge in action,at the right time and place, akili ni ujuzi katika vitendo,akili ni uwezo wa kufikiri kuweza kutatua jambo, akili ni uwezo wa kubuni kupata uvumbuzi, akili ni uwezo wa kugeuza elimu tuliyonayo kutatua matatizo, to what use is your knowledge if you cant deliver when needed? Akili yako inatusaidiaje kama hatuwezi kuzigeuza maliasili zilete ugali katika meza za raia wa Tanzania, We kama unajua 2×2 na hujui 2+2 ukiulizwa watu watakuita mjinga,intelligence ni kuwa na uwezo wakufanikiwa katika mazingira yoyote,ndio maana Tyrion kwenye game of thrones anasurvive popote, kuwa na akili (intelligent) haimaanishi ubishi na ujuaji,Wazungu waliachia koloni zao wakiwa na mipango madhubuti ya kututawala kiakili zaidi.
Elimu na akili ni kutafuta solution na sio kutoa lawama,kuna ukweli kuwa akili (intellingence) inatoka kwa mama zaidi haijalishi kama baba ana akili au hana,wanasayansi wanajua zaidi, pia vyakula vina umuhimu wake, samaki mboga za majani n.k. kuna watoto wana uelewa mdogo darasani kwasababu tu ya lishe mbovu, ukitaka mwanao awe intelligent mwachie aishi maisha yote, ya shida na raha,ya njaa na shibe, ndipo akili yake itakapokua, that way they can get different perspectives of life and how to appropriately use their knowledge,akili inahitaji kujitoa(kujisacrifice), si tu zawadi ya Mungu kwako, its not merely a God given blessing or bought from English based schools, hata Ben Carson mwenye gifted hands alipambana kupata akili iliyompa mikono iliyobarikiwa.
Nimalizie kwa kusema kwamba,kama Watanzania tunashindwa kutumia akili zetu kubadili maliasili zetu zilete chakula mezani kwenye jamii ya Watanzania,basi bado tupo kwenye stage ile ya wazungu kuishi kwenye maisha duni waliyopitia wao na kuyabadili kuwa ulaya tunayoiona leo,kama Watanzania hatutaki kutoka katika stage ya umasikini kwa kutotumia akili zetu kuondoa umasikini Ila tupo kwenye siasa tu, maendeleo yatangoja sana, kama wenye dhamana na maliasili zetu hawawezi kutumia rasilimali hizo kuboresha maisha ya Watanzania basi tuna shida kubwa katika mfumo wa DNA zetu,tuna shida katika life form allowance ya kuruhusu DNA ziruhusu kugeuka na kuwa viumbe basi DNA zetu zilikosa akili katika hatua ya uumbaji.
Yaani Intelligence transposition and transformation na kufanya kukosa Gene factor control ndio maana tunaumiza vichwa kuju mchakato wa jinsi maisha yanavyokwenda na namna ya kutatua umasikini tulionao ikiwa tuna utajiri wa maliasili, nimalizie kwa kusema Maliasili bila akili ni laana na ni umasikini.
Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.
Recent Publication;-
-Assessment on the effect of Micro-Financing on poverty reductions.