Tumenyimwa mafao ya mirathi NSSF, tumeambiwa ni mali ya Serikali na NSSF

Tumenyimwa mafao ya mirathi NSSF, tumeambiwa ni mali ya Serikali na NSSF

Isqko

New Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
3
Reaction score
4
Habari,

Nimeenda NSSF kufuatilia mafao ya mirathi ya marehemu mzazi wangu aliyefariki akiwa kazini bado lakini cha kushangaza NSSF wanasema hatuna haki ya kupata mirathi hiyo kwasababu watoto wake tumezidi miaka 18 na hizo pesa ni mali ya serikali na NSSF.

Naomba kujua hii sheria imeanza lini na imekaaje kaaje.

Pia soma
- Pensheni ya urithi ya NSSF kwa mtoto mwenye miaka zaidi ya 21 hatakiwi kupewa?
 
Back
Top Bottom