Abu_yazid JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 3,434 Reaction score 4,256 May 13, 2021 #21 Asprin said: Wale wanafuata kanuni kama Utopolo... Hawataki ujinga wa maelekezo ya Serikali... Kwani mama Samia yeye kasemaje? Click to expand... Itakuwa mama kasafiri kwenda kula eid ya halali, hataki bughdha
Asprin said: Wale wanafuata kanuni kama Utopolo... Hawataki ujinga wa maelekezo ya Serikali... Kwani mama Samia yeye kasemaje? Click to expand... Itakuwa mama kasafiri kwenda kula eid ya halali, hataki bughdha
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,984 Reaction score 189,583 May 13, 2021 #22 luckyline said: Tangu jana mwezi ulikuwepo.sema kuna mtu aliekuwaa akisubiliwa. Waislamu wa janzu fupi wao leo wamejilia hawataki kusikia bakwata wanasemaje. Click to expand... Janzu hebu tutake radhi!,[emoji23]
luckyline said: Tangu jana mwezi ulikuwepo.sema kuna mtu aliekuwaa akisubiliwa. Waislamu wa janzu fupi wao leo wamejilia hawataki kusikia bakwata wanasemaje. Click to expand... Janzu hebu tutake radhi!,[emoji23]
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,138 Reaction score 288,731 May 13, 2021 #23 Salary Slip said: Hatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam. Nimeona mwezi ila sijatangaza chochote hivyo msininukuu. Kazi kwenu wahusika. Click to expand... Hatujakunukuu vibaya mkuu , sisi tutamsubiri Mufti atamke
Salary Slip said: Hatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam. Nimeona mwezi ila sijatangaza chochote hivyo msininukuu. Kazi kwenu wahusika. Click to expand... Hatujakunukuu vibaya mkuu , sisi tutamsubiri Mufti atamke
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 May 13, 2021 #24 Sawa Mkuu 👍🏽 Salary Slip said: Nimesikia watu wanauulizia nikaona niwajulishe!!! Click to expand...