vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Pamoja na wachezaji wa Yanga zaidi ya 10 kutoka kucheza mechi zao ngumu za kufuzu AFCON na kuchelewa kuingia Tanzania kujiandaa na derby lakini Simba imeshindwa kunufaika na hilo. Kuna wachezaji wameingia jana na mwingine ni alfajiri ya leo (Diara) lakini Simba imefungwa mara nne mfululizo.
Wachezaji wa Simba walianza na kasi lakini kipindi cha pili ni kama vile moto wa mabua umeanza kuisha huku Yanga wao kadri dakika zinavyozidi kwenda ndio wanaonekana ni bora zaidi na kuwafanya Simba wanachotaka yaani utulivu ulikuwa wa hali ya juu sana. Simba walikuja na nguvu ya soda na kukamia mechi wakati hawana stamina na fitness ya kutosha.
PIA SOMA
- FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024