Tumepata kipigo cha kwanza

Tumepata kipigo cha kwanza

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Safi sana. Kapten aendelee kumshukuru anayemdhania ndo mwenye team.

Bao 3 kwa Nunge

Mi nitakuwa nahesabu tu. Hili li timu la hovyo. Na jana Morocco walituonea huruma sababu sisi ni ndugu zao. Ama sivyo ilikuwa watuchape hata 7. Inshallah next time itakuwa hivyo.

Wabillah tawfiq.
 
Na kocha wao (stars)kapigwa ban na CAF mechi nane atakuwa nje
 
Back
Top Bottom