technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Yaani tumepigwa kila sehemu
Nyerere Bora tulimtambua Kama mjamaa
Mwinyi alikuwa shamba la bibi lakini watu wote aliwapa fursa sawa kupitia ruksa.
Mkapa akaja na kulipa madeni na utandawazi uchumi ukawa imara nakumbuka wakati wa mkapa change ya dollar ilikuwa 600.
Akaja Kikwete maisha Bora kwa kila mtanzania tukajenga account zikawa zinasoma akafungua nchi tukatajirika wale wasaka ajira wakaajiliwa.
Akaja Magufuli akaifumua serikali akalalia falsafa ya ujenzi wa miundombinu tukaelewa
Sasa huyu mama
Dp world tumepigwa
Ngorongoro tumepigwa
Sheria za uchaguzi tumepigwa
Katiba mpya tumepigwa
Kizimkazi inajengwa makasiri Kama saudia tumepigwa
Utawara Bora tumepigwa
Machawa tu ndio wameongezeka na ndio wanakula keki ya Taifa uku yeye akipishana angani .
Kama tutaenda mpaka 2030 tutafika tumechoka Sana !!!!