FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Kwahiyo shilling 1 ipo wapi 😂Hii ni logical fallacy kwa sababu unajaribu kujumlisha kile ambacho tayari kimo ndani ya hicho kiasi i.e Tshs 2 ya mlinzi tayari IPO ndani ya Tshs 27.
Hivyo, mgawanyo sahihi ni:
- Tulia/gharama ya chumba: Tshs 25
- Gwajima, Wambura, CCM: Tshs 3
- Mlinzi: Tshs 2
Jumla: Tshs 30.
Kimahesabu hakuna shilingi iliyopotea😂Kwahiyo shilling 1 ipo wapi 😂
Mmeambiwa muache Gwajimanisation 😂Tafsiri
Mwaka 2025 utawala wa Gwajima (upinzani wa ndani wa chama), CCM (chama tawala), na Wambura (vyombo vya dola) unamalizika kwa njia ya kisiasa. “Shilingi iliyopotea” haiwakilishi pengo la kifedha bali ni imani ya wananchi iliyopotea Sio hasara ya pesa, bali ni ishara kuwa mfumo unajisambaratisha kutoka ndani, na mamlaka yasiporudishwa kwa wananchi kwa dhati, mwaka 2025 hautakuwa tu uchaguzi bali ni mwisho wa enzi ya kisiasa. Hawataweza kutawala mpaka 2030.
Tafsiri

Wamechukua wananchiPolisi wazingira Kanisa la Gwajima la ‘Ufufuo na Uzima’ usiku. Wananchi wajazana eneo la tukio, wagoma kuondoka!
Dar: Polisi wazingira kanisa la Gwajima la Ufufuo na uzima. Ni taharuki kwa Wakristo Nchini. Je, Nchi inaenda wapi? Kanisa lina kosa gani? Kama kakosea Gwajima angekamatwa Gwajima. Kanisa la Ufufuo na Uzima lipo Duniani kote Msajili kakengeuka. Risasi za moto Kanisani za nini? Chezea Siasa...www.jamiiforums.com
Narudia, shilingi moja imeenda wapi?!
Amina!!! , Aminaaaa!!Tafsiri