Mfumo wowote ule inabidi uaminiwe na wananchi (its a social contract) sasa kutokuwa na imani na mifumo / taasisi ni hatua moja kabla ya anarchy... tunapoelekea tunapotea ni bora tusimame au turudi nyuma na kutafuta njia...Waafrika haya masuala ya demokrasia sio jadi yetu. Tulilazimisha tu.
Hatukufuata utaratibu mpaka kua na hiyo demokrasia, ni kama tuliruka stage.Waafrika haya masuala ya demokrasia sio jadi yetu. Tulilazimisha tu.
Hii ilikuwa setp.24 hii ni dec.25 na bahati nzuri msimu ulikuwa na mvua za kutosha hivyo ule mchicha wa 2024 sasa ni mbuyu wa 2025 zaidi zaidi 29 oct. to remember!“Justice must not only be done, but it must also be seen to be done.”
Kuna mambo yamekuwa yakitokea na watu kurushiana shutuma kwamba ni huyu au yule amefanya.., Mbaya zaidi Kuna upande hawana Imani na Wachunguzaji (Vyombo Husika) kwahio Uchunguzi wowote utakaofanyika bado watu hawataridhika kwa kusema huenda fulani amesingiziwa au aliyeshikwa ndiye, sio.
Kwahio sababu Kuaminiana ni Muhimu sana Katika Ustawi wa Jamii ni muhimu tukarudisha imani hiyo hususan kwa taasisi ambazo zinatulinda.
Hivyo binafsi nashauri sababu watu Hawana Imani na pande zote kuhusu uchunguzi wa yanayotokea, ni Vema ikaja Taasisi ya uchunguzi either kutoka nje au iundwe TUME itakayojumuisha pande zote ambazo haziaminiani ili uchunguzi ufanyike na wenye hatia washikwe (no matter wanatokea upande gani Wasioamini au Wasioaminiwa) ili tukate huu mchicha kabla haujakuwa na kuwa Mbuyu sababu tutashindwa kuuhimili. (Hopefully Mchicha huo haujawa Mbuyu Tayari).
Katika jamii yenye population kubwa ya wananchi masikini na wasioelimika demokrasia sio njia sahihi kupata viongozi.Hatukufuata utaratibu mpaka kua na hiyo demokrasia, ni kama tuliruka stage.
HAKI ndiyo msingi wa Imani.Hatukufuata utaratibu mpaka kua na hiyo demokrasia, ni kama tuliruka stage.
Hapa kuna point kuu tatu; Duniani hakuna pure democracy (power to the people) ila ni kama ndio target tunayojitahidi kuifikia; ila point kuu zaidi hata nguvu ya UMMA kweli kwa watu ambao hawajui wala kufuatilia wanachotaka pia ni recipe for disaster....; ndio maana kuna mdau alisema;Katika jamii yenye population kubwa ya wananchi masikini na wasioelimika demokrasia sio njia sahihi kupata viongozi.
Poor and illiteracy society inahitaji dikteta wa aina ya Gadafi
Hata kama hakuna Haki lakini wawe na sehemu ya kukimbilia tatizo pale pa kukimbilia pasipoaminika ni kutengeza anarchy..., after all hata hizi Sheria nyingi zilizopo sio necessarily kwamba zinatenda Haki (ila angalau watu wamekubaliana nazo) - Its a Social Contract.HAKI ndiyo msingi wa Imani.
Watu huaminiana kwa kuwa mizani ya haki katika sheria inafanya kazi.