Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Waliopanga hizi kamata kamata walikosea. Walishindwa kufahamu kwamba Dunia inaendeshwa kwa vyombo vya habari vya magharibi kuliko vya ndani.
Al-Jazeera na BBC ni vyombo vikubwa, vinaweza kukijenga na utakumbuka awali vilivyotumika kupooza upepo wa JPM alipoingia Mama. Leo vimeingia Ulingoni na sura nyingine kabisa.
Jambo na mkakati uliharibika pale mkuu wa kituo cha police Mbagala alipotoa tamko lenye utata, likapingwa kwa maneno machache. Means aliandika ambacho ajatumwa.
Kelele zimezidi tumemsikia Katibu Mkuu CCM akilaani na kuelekeza waachiwe akidai kwamba ni jambo la kisiasa waachiwe wanasiasa. Maana yake hata yeye mtendaji mkuu hana taarifa na kinachoendelea.
Walioelekeza haya mambo naamini siyo wenye nchi. Gharama ya kuyazima na kuyatuliza lazima iambatane na baadhi kukaa pembeni.
Je, kuna watu wanataka kuwa Ma-IGP? Siro alipitishwa kwenye moto wa aina hii na wasaidizi wake akawakemea wakakaa kimya. Je bado wapo?