mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Leo ni sherehe ya kumbukizi la uhuru wa TANGANYIKA iliyokuwa inatawaliwa na Waingereza. Tusipotoshe historia!! Leo siyo siku ya uhuru wa Tanzania.
Anayebisha aniambie Tanzania ilikuwa inatawaliwa na mkoloni yupi! Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Tanzania wala Tanzania bara!! Tumeamua kupotosha historia kwa manufaa ya nani?