Tanzania si Tangayika iliyojibadili jina baada ya kukubaliana na kuungana na Zanzibar, ni kama Cassius Marcellus Clay, Jr alipokubali mafunzo ya Nation of Islam na kubadili imani yake jina lake pia lilibadilika na kuitwa Mohammed Ali.
Kila alipokuwa anasherekea siku yake ya kuzaliwa ilikuwa inasemwa ni siku ya kuzaliwa ya Mohammed Ali sio Cassius Marcellus Clay, Jr.