Tumetimuliwa Baa Mpya Na Police Tukitazama Game Ya Man/Sevilla Uefa

Tumetimuliwa Baa Mpya Na Police Tukitazama Game Ya Man/Sevilla Uefa

Dr Guitar tz

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
312
Reaction score
247
Yaani Dkk Ya 37 tu Kipindi cha kwanza ikiwa ni SAA 5 Na ushehe hivi tukiwa Bar mpya huku Kijichi Mtaa wa Diwani tukiangalia game Mara imetinga Gari ya wazee(Leyland) yenye mfano wa Noah
Pale ndani wakaingia kama 4 hivi wawili Na silaha,akaamliwa bar woman afunge Mara moja Na kila mmoja pale atawanyike!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume wa dar kila saa mnanyanyaswaa ...
Maserati nakusalimiaa
 
FB_IMG_15184556529089582.jpg
 
Bora mmetoka salama ni afadhali ukutane na majambazi utapona ila sio hao
 
Huyo mwanamke mwenzio, usimbanie pua.
Mkuu ebu usijishushe hadhi angalia unaejibishana nae

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

d5842d7f2d7117bdbb61ace4c42f98e6.jpg
 
Kwani hali ya hatari imetangazwa? yani unaogopa hata watu kukusanyika kuangalia mpira?huyu Bakayoko anaipeleka wapi hii Tanzania?
 
Kwani hali ya hatari imetangazwa? yani unaogopa hata watu kukusanyika kuangalia mpira?huyu Bakayoko anaipeleka wapi hii Tanzania?
Sijajua tatizo liko wapi ikiwa bar zitakua wazi hadi saa 8 usiku miaka yoote hapajakua Na shida yeyote,hivi jamani hata kama ni plan za ujambazi ndio zinafanyikiaga bar?
 
Yaani Dkk Ya 37 tu Kipindi cha kwanza ikiwa ni SAA 5 Na ushehe hivi tukiwa Bar mpya huku Kijichi Mtaa wa Diwani tukiangalia game Mara imetinga Gari ya wazee(Leyland) yenye mfano wa Noah
Pale ndani wakaingia kama 4 hivi wawili Na silaha,akaamliwa bar woman afunge Mara moja Na kila mmoja pale atawanyike!
Pumbafu zao...
 
Back
Top Bottom