Dr Guitar tz
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 312
- 247
Atakua ana stress huyuUnaishi wapi kipusa?
Walisema sehemu za starehe mwisho saa sita
Lakini ni heri hizo silaha hazikutumika
Mkuu ebu usijishushe hadhi angalia unaejibishana naeHuyo mwanamke mwenzio, usimbanie pua.
Hao mashabiki wenzako wanakusaidia nini poverty inakusumbua wewe
ujinga ukikutoka kichwani kwako ndio utajuaHao mashabiki wenzako wanakusaidia nini poverty inakusumbua wewe
Unategemea utapokea tusi kwangu! Hapana mie ni babako mwanangu ukininyea mkono sitoukata bali nitauosha.Niambie dada angu
Sijajua tatizo liko wapi ikiwa bar zitakua wazi hadi saa 8 usiku miaka yoote hapajakua Na shida yeyote,hivi jamani hata kama ni plan za ujambazi ndio zinafanyikiaga bar?Kwani hali ya hatari imetangazwa? yani unaogopa hata watu kukusanyika kuangalia mpira?huyu Bakayoko anaipeleka wapi hii Tanzania?
Pumbafu zao...Yaani Dkk Ya 37 tu Kipindi cha kwanza ikiwa ni SAA 5 Na ushehe hivi tukiwa Bar mpya huku Kijichi Mtaa wa Diwani tukiangalia game Mara imetinga Gari ya wazee(Leyland) yenye mfano wa Noah
Pale ndani wakaingia kama 4 hivi wawili Na silaha,akaamliwa bar woman afunge Mara moja Na kila mmoja pale atawanyike!