Kwa nini wanawake waliojifungua wanatakiwa kuheshimiwa
Kuwa sio wataalamu wote wanatoka ulaya wanakuja kujitolea kama wanavyodai. wengine wanakuja kufanya practical za real life sababu inaonekana masomoni wanafunzi hawaruusiwi kucheza na maisha ya watu kama africa.
Mimi zamani nilipokuwa mdogo nilikuwa namuuliza mama yangu mama sisi tunapozaliwa tunatoka wapi mama yangu alinijibu eti tunapatikana baharini nikawa najuwa hivyo mpaka nilipokuwa mkubwa kumbe nikaelewa kuwa kumbe tunazaliwa ndani ya matumbo ya mama zetu kazi kubwa sana kujifunguwa.
Haya ni maendeleo makubwa sana. Itasaidia sana kwenye ufundisha na especially sehemu ambazo watu wanajua haki zao na wanafunzi wa udaktari hawawezi kuikaribia labour room. Ila huku kwetu bado hakuna shida, wanafunzi wanaingia labour room kama kwenye disco toto.