Tumeupata wapi utaalamu wa kukadiria kwa usahihi nguo za ndani wakati wa kuzinunua bila hata kujaribisha?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Mimi kwa sasa nina umri wa miaka 38. Sijawahi kukosea vipimo wakati nanunua boxer, tight ama chupi japo huwa sijaribishi physically, ni macho tu nikikodolea lazima size yake iwe sahihi kwa asilimia kuanzia 95 mpaka 100.

Nshamnunulia pia mwanzangu nguo zake za ndani mara kibao kwa kuziangalia tu kwa macho. Akienda kujaribisha zinakuwa zimekaa fiti.



Mwenzangu huwa unapatiaje size za vipimo vya nguo za ndani wakati ukiinunua ?

Intelligent guys!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…