Afungwe tuu, kwa kuruka dhamana. Miezi 3, akitoka huko kesi ya msingi iendeleeHiko kigingi bado hakijavukwa mkuu, ndugu zako bado wako wanapitia mafaili yao muda wowote wanaliamsha dude hata kabla ya uchaguzi.
Wameonyesha dharau watafikaje uwanjani wamechelewa? wamejikuta wao kina nani😕😕😕😕wamekomeshwa kama walikuwa wanataka kiki imebuma wakaitafute Lupaso kama watafanikiwa😕😕😕Mh mie naona bado hata kwenye kuaga wamewazuia.
Kheee kumbe kweliWameonyesha dharau watafikaje uwanjani wamechelewa? wamejikuta wao kina nani😕😕😕😕wamekomeshwa kama walikuwa wanataka kiki imebuma wakaitafute Lupaso kama watafanikiwa😕😕😕
YOU ARE RIGHT MAN, tupo msibani vurugu zitatuchafulia CV na kutengeneza historia mbaya kwa vizazi vyetu. soonBado tuna vigingi vingi, subiri tuone nini kitatokea baada ya mazishi.
Jr[emoji769]
Kama nguruwe wanavyozan babayao atashinda UraisKigingi cha pili tutaanguka maana kila mpumbavu anadhani Lissu ataukwaa Urais ingawa ukweli JPM atashinda zaidi ya asilimia 90 hata iwe kwa haki au vinginevyo.
Hapo pagumu snaTanzania jana ilikuwa kwenye darubini za Jumuiya za Kimataifa kuhusu kuwasili kwa Tundu LISSU. Taasisi nyingi zilitegemea kungetokea vurugu nchini na polisi kumkamata Tundu LISSU.
Kwa ujumla mapokezi yalikuwa salama na Tundu Lissu hakukamatwa, hicho ni kigingi cha kwanza ambacho tumekivuka. Kigingi cha pili ni uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Je, utakuwa huru na haki, uchaguzi huu utatuweka tena kwenye darubini za kimataifa.
Choko hiliAfungwe tuu, kwa kuruka dhamana. Miezi 3, akitoka huko kesi ya msingi iendelee
Mimi 'pacemaker' yangu ina unguruma unguruma kama vile betri limeshiwa nguvu yaani chagi(charge)Bado tuna vigingi vingi, subiri tuone nini kitatokea baada ya mazishi.
Jr[emoji769]
Walifuata itifaki pamoja kufika kwenye tukio kabla ya mhusika Rais ambaye alikuwa mhusika mkuu?Mh mie naona bado hata kwenye kuaga wamewazuia.
Kesi ya Lissu ni tar 30 mwezi huu na bado TUME Nyahoza amesema tume ndo inapitisha majina ya WagombeaBado tuna vigingi vingi, subiri tuone nini kitatokea baada ya mazishi.
Jr[emoji769]