Uchaguzi 2020 Tumevuka kigingi kimoja, bado kingine

Sioni mandalizi ya kuufanya uchaguzi huo kuwa wa haki na huru. Uchaguzi utabaki kuwa wa ovyo.
 
Kigingi cha pili tutaanguka maana kila mpumbavu anadhani Lissu ataukwaa Urais ingawa ukweli JPM atashinda zaidi ya asilimia 90 hata iwe kwa haki au vinginevyo.
Kingi Cha kwanza Tundu Lisu kabwagiwa kwenye kura za uteuzi kamati kuu kaongoza Nyalandu kigingi Cha pili kinamngoja baraza kuu .Bado ana vigingi vya kuvuka si vibaya akianza kujiandaa kisaikolojia akibwagwa na baraza kuu
 
Hamna mzungu wa kutuanzishia kasheshe kisa mzee wa MIGA, msituogopeshe..
 
Uchaguzi wa hovyo usiozingatia taratibu za kidemokrasia ndio kigingi halisi.Wangeshindana katika mazingira yanayokubalika kama free and fair election.

Huwa nawaza kama CCM inaamini inakubalika kwa wananchi na wana mtaji wa wanachama, hofu huwa ya nini?
 
Kuna covid 19 bado hao wasimamizi wa kimataifa hawawezi kuja na wakitaka kuja lazima wakae quarantine kwa siku 14 zikiisha mshindi tayari atakuwa ametangazwa
 
Kwa mujibu wa walioozea kuporwa ushindi wao.
Kama wameshazoea basi huo ushakuwa utamaduni wao kuporwa watulie tu.

Kwa mujibu wa waangalizi wa kimataifa, General elections zote nchi hii huwa huru na haki toka 1995.(Hata ule uliofutwa na Jecha)

Wakati huo hao losers hawajawahi kukubali matokeo toka 1995.
 
Mimi 'pacemaker' yangu ina unguruma unguruma kama vile betri limeshiwa nguvu yaani chagi(charge)
[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji40][emoji40][emoji40][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]

Jr[emoji769]
 
Kigingi cha pili tutaanguka maana kila mpumbavu anadhani Lissu ataukwaa Urais ingawa ukweli JPM atashinda zaidi ya asilimia 90 hata iwe kwa haki au vinginevyo.
Jpm hashindi uchaguzi wa mwaka huu. Iwe kwa kuiba au kutoiba. Hashindi. Amini nakwambia
 
Tume hiru hamtaipata kama zawadi kwenye meza za chakula cha usiku. Hamridhiki kuna option 2 tu, mtulie msijihusishe na uchaguzi unaoratibiwa na kisimamiwa na tume husika au mbebe kila mnachoweza muingie barabarani mkapimane vifua na mapoti.

Kama hamfanyi chochote kati ya hayo basi hamjui mnachokitaka na hamna yeyote mwenye akili atawasikiliza
 
Kigingi cha pili tutaanguka maana kila mpumbavu anadhani Lissu ataukwaa Urais ingawa ukweli JPM atashinda zaidi ya asilimia 90 hata iwe kwa haki au vinginevyo.
Jpm hashindi uchaguzi wa mwaka huu. Iwe kwa kuiba au kutoiba. Hashindi. Amini nakwambia
 
Kigingi cha pili tutaanguka maana kila mpumbavu anadhani Lissu ataukwaa Urais ingawa ukweli JPM atashinda zaidi ya asilimia 90 hata iwe kwa haki au vinginevyo.
Kuwaita watu wapumbavu kisa wana maono tofauti na wewe ni kuonyesha jinsi ulivyokosa utu kwa aslimia 100%
Wanaccm kama wewe niwa kupuuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…