The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Duh!! CCM bye byeGT
Hali ndo kama mnavyoiona. Hapo Lisu bado hajatoka kudadadeki maCCM Mmekataliwa duniani na binguni. Endeleeni kulazimisha ila karma haijawahi kukosea njia
View attachment 3429434
Yes wanatumia hela lakini raia hawaelewi kabisaDuh!! CCM bye bye
Bila mabadiliko hakuna uchaguzi ✌️GT
Hali ndo kama mnavyoiona. Hapo Lisu bado hajatoka kudadadeki maCCM Mmekataliwa duniani na binguni. Endeleeni kulazimisha ila karma haijawahi kukosea njia
View attachment 3429434
Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya dola wapo nyuma yao ndio maana wanajiaminiDuh!! CCM bye bye
Uelewa mdogo wa kitu gani? Kuhonga wananchi baskeli zama hizi ni ujinga sana tumesha toka huko CCM jifunzeni kusoma nyakatinafikiri ni welewa mdogo tuh
lakini hakijaharibika kitu
Na huo ndo msimamo.wetuBila mabadiliko hakuna uchaguzi ✌️