Mmefanya jambo zuri la kusifiwa. Naamini kwa hili hazina yetu pale juu itaongezeka. Mmbarikiwe sana wakuu.Mimi, Chrispini, BHT, Geof, Ziondaughter na Kaizer tumewawakilisha wana JF wote kwenye msiba wa baba yake Pakajimmy maeneo ya kitunda na safari ilianza mida ya saa 8 kulekea Mbeya ambako mzee wetu atapumzishwa. Na tulivyowasiliana mida ya saa 11 walikuwa wamepita maeneo ya morogoro mjini.
Pakajimmy kafarijika na anawashukuru wana JF wote kwa support mliompa kipindi hichi kigumu.
Asante sana Mungu awabariki kwa moyo mliouonyesha.Mimi, Chrispini, BHT, Geof, Ziondaughter na Kaizer tumewawakilisha wana JF wote kwenye msiba wa baba yake Pakajimmy maeneo ya kitunda na safari ilianza mida ya saa 8 kulekea Mbeya ambako mzee wetu atapumzishwa. Na tulivyowasiliana mida ya saa 11 walikuwa wamepita maeneo ya morogoro mjini.
Pakajimmy kafarijika na anawashukuru wana JF wote kwa support mliompa kipindi hichi kigumu.
Mimi, Chrispini, BHT, Geof, Ziondaughter na Kaizer tumewawakilisha wana JF wote kwenye msiba wa baba yake Pakajimmy maeneo ya kitunda na safari ilianza mida ya saa 8 kulekea Mbeya ambako mzee wetu atapumzishwa. Na tulivyowasiliana mida ya saa 11 walikuwa wamepita maeneo ya morogoro mjini.

Wote mliohudhuria msiba kwa Dar asanteni sana kwa uwakilishi wenu, ningeomba kwa sisi tuliopo Arusha tuwasiliane (PM) ili tuweze kwenda kumpa pole pale atakaporudi. Mungu akutie nguvu PJ