Kwann akatae??? Haiwezekaniii atake asitake tutamuongezeaaaa 🤣🤣🤣Magu Part 2 na wazee wa Atake Asitake. Alazimishweeeeee.
Organisms kwenye siasa na madaraka ni wale wale.
hahahaaa organism kwenye madaraka ?mbowqe ni zaidi ya dictator kama humjui ule uenyekiti umeondoa watu wengi sana iqal kama humjui utamuimbia mapambio hakuna mtu mbaya kwenye siasa kama mboweMagu Part 2 na wazee wa Atake Asitake. Alazimishweeeeee.
Organisms kwenye siasa na madaraka ni wale wale.