Misitu na Nyuki Member Joined Mar 6, 2019 Posts 42 Reaction score 23 Aug 22, 2019 Thread starter #21 free lander said: Ya nyuki wadogo ina ladha kama imetiwa limao. Click to expand... sawa sawa kwa mbali iko hivyo, yenyewe ni chungu kidogo kuliko ya wakubwa.
free lander said: Ya nyuki wadogo ina ladha kama imetiwa limao. Click to expand... sawa sawa kwa mbali iko hivyo, yenyewe ni chungu kidogo kuliko ya wakubwa.
Misitu na Nyuki Member Joined Mar 6, 2019 Posts 42 Reaction score 23 Aug 22, 2019 Thread starter #22 franknombo said: Utaitambuaje asali ya nyuki wadogo na nyuki wakubwa? Click to expand... ya nyuki wadogo mara nyingi ina rangi dark fulani hivi, lakini pia ni nyepesi pia iko na ladha ya uchungu kidogo.
franknombo said: Utaitambuaje asali ya nyuki wadogo na nyuki wakubwa? Click to expand... ya nyuki wadogo mara nyingi ina rangi dark fulani hivi, lakini pia ni nyepesi pia iko na ladha ya uchungu kidogo.