SoC03 Tumia fursa ili isikutumie

SoC03 Tumia fursa ili isikutumie

Stories of Change - 2023 Competition

Asmin Hassan

New Member
Joined
May 31, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Maisha yanaenda kwa Kasi na Kila kitu kinabadalika, muda mwingine nakaa nakutafakari je tuendako ni sahihi ?

Je, ni kheri kurudi miaka ya zamani au kwenda mbele bila kujua kinachotusubiri? au ni mimi tu ambaye bado nimebaki nyuma? Nifuate mkumbo kama wenzangu au la!!!

Ukuaji wa teknolojia umepelekea mabdiliko mengi katika maisha yetu ya Kila siku lakini haswa ni katika tabia za Kila siku za vijana vinazochochewa na mitandao ya kijamii.

Ukilinganisha na zamani sasa haya imekuwa adimu miongoni mwa vijana, athari za mtandao zimepelekea baadhi ya watu kupoteza maisha, sipingani na manufaa yanayoletwa na mtandao lakini je ushawahi kujiuliza unafaidika au unapata hasara kwa kutumia mitandao
ya kijamii?

Ni sahihi kufanya unachokifanya?

Ni sahihi kutumia hela mtandaoni kama unavyoitumia na je ni sahihi kuwa sehemu ya maumivu ya watu wengine?

Jibu unalo wakati ni sasa!! Matumizi ya mtandao yakunufaishe na si vinginevyo.
 
Upvote 1
Back
Top Bottom